VYA BURE HUONDOA AKILI
Mtegemea cha nduguye hufa maskini. Ukijipata wewe maskini, kuna kile unachotegemea kisichokuwa chako. Sababu kuu mola kumpa kila binadamu...
Mtegemea cha nduguye hufa maskini. Ukijipata wewe maskini, kuna kile unachotegemea kisichokuwa chako. Sababu kuu mola kumpa kila binadamu...
Ishara moja ya ukomavu ni kutotaja siri za nyumbani palipo na wageni. Si kila mgeni ni mgeni,wengine majasusi. Hivyo, kadri unavyofyata...
Sisi ni zaidi ya wapiga kura Vijana wa sasa fahamu hili, ni vijana wa jana ndio wanaotufanya sisi kuzozana wakati wa siasa. Si dhambi...
Mashirikaya Umoja wa Mataifa yasema kwamba DRC ina idadi kubwa zaidi ya watu ulimwenguni wenye mahitaji ya chakula cha dharura. Watu...
Umoja wa mataifa umesikitishwa na ongezeko la visa vya mapigano kaskazini mwa Mozambique Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kutafuta mbinu...
Matumaini ya kupata chanjo ya covid-19 yamepata msukumo mkubwa baada ya majaribio ya kliniki kuonyesha maendeleo makubwa. Chanjo ya...
Kulingana na maafisa wa serikali, shambulizi hilo lililenga kijiji kimoja cha jamii ya Fulani katika eneo tata la Mopti. Watu 26 wameuawa...
Kufikia sasa, mataifa 37 barani Afrika yametangaza kuunga mkono tiba ya virusi vya Corona iliyopatikana nchini Madagascar. Idadi hii ni...
Tangazo hili lilitolewa na wizara ya haki baada ya watu wanane kuambukizwa ugonjwa wa Corona. Uongozi wa Libya umetangaza kuwa...
Zaidi ya watu 43 wauawa na sita kujeruhiwa vibaya baada ya wanamgambo kushambulia vijiji katika mkoa wa Yatenga karibu na mpaka na taifa...
Virusi vya Ebola vimeangamiza watu 2,264, kuambukiza watu 1200 zaidi na kuorodheshwa miongoni mwa virusi hatari zaidi katika historia ya...
Shirika la UNHCR linasema kwamba mashambulizi ya mara kwa mara hufurusha watu laki saba kila mwaka. Zaidi ya watu 4000 wanalazimishwa...
Mashua moja iliyokuwa na wahamiaji 91 wengi wao wakiwa wakimbizi imetoweka katika bahari ya Mediterenean. Kulingana na kitengo cha...
Kulingana na serikali ya Sudan Kusini, nzige hao wamevamia Kaunti ya Magwi Kusini inayopakana na taifa la Uganda. Wizara ya kilimo nchini...
Kukataa kwa Riek Machar kumevunja matumaini ya kukomisha vita vya miaka sita nchini Sudan Kusini. Waasi nchini Sudan Kusini wamekataa...
Wizara ya afya nchini Misri inasema kwamba muathiriwa ni wa asili ya kigeni na ametengwa na kulazwa hospitalini. Misri imethibitisha kisa...
Maafisa wa afya wanashuku visa vilivyoripotiwa vimeongezeka kutoka 700 hadi 1708 huku taifa hilo likikabiliana na janga hilo. Maafisa wa...
Hali hii ya dharura huenda ikamalizika chini ya miezi mitatu iwapo wataalam wa afya katika shirika hilo watashauri. Shirika la afya...
Baadhi ya masuala yatakayojadiliwa ni namna ya kukomesha mapigano katika nchi kama vile Libya na Sudan Kusini. Viongozi wa mataifa na...
Ufaransa ina majeshi 4500 katika maeneo ya Sahel na imetangaza kuongeza majeshi 600 zaidi Majeshi ya Ufaransa yameangamiza zaidi ya...