Moses WangwaOct 11, 20192 min readKero la ugaidi latikisa AfrikaMwaka 2020 ni ule wa kunyamazisha mtutu wa bunduki barani Afrika. Hata hivyo mashambulizi ya kigaidi mwezi huu tu yanaashiria kinyume.