Moses WangwaFeb 7, 20202 min readKuza wanawake kiuchumi ili kukomesha ukeketajiZaidi ya wanawake na wasichana milioni 200 huathirika kikazi na kukosa fursa za kiuchumi kufuatia ukeketaji. Kwa mujibu wa mwanaharakati...
Moses WangwaFeb 5, 20201 min readMafuriko na maporomoko ya ardhi yasababisha vifo vya watu 13 mjini KigaliWatu 13 wamethibitishwa kufariki katika mji mkuu wa Rwanda kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Kulingana na maafisa wa serikali,...
Moses WangwaFeb 4, 20201 min readMahakama ya Malawi yatupilia mbali uchaguzi wa rais Peter Mutharika; uchaguzi mpya kuandaliwaMahakama ya kikatiba nchini Malawi imeamrisha uchaguzi mwingine kufanyika baada ya kutupilia mbali matokea ya uchaguzi uliomrudisha...
Moses WangwaFeb 3, 20201 min readHospitali iliyojengwa kwa siku kumi nchini China yaanza kuwahudumia wagonjwa.Vyombo vya habari nchini China vinasema kwamba hospitali mpya iliyojengwa katika mji wa Wuhan ilianza kupokea wagonjwa hapo jana....
Moses WangwaFeb 3, 20202 min readMahakama ya Burundi yawafunga wanahabari wanne kwa ‘kudhoofisha usalama wa kitaifa’ Wanahabari hao wanafanya kazi na shirika la utangazaji la Iwacu,ambalo ni moja kati ya mashirika machache ya kibinafsi yaliyosalia nchini...
Moses WangwaFeb 2, 20202 min readSomalia yatangaza hali ya dharura kufuatia uvamizi wa nzige wa jangwani Wizara ya kilimo inasema kuwa nzige wa jangwani wanatishia mazao ya shambani nchini humo Nchi ya Somalia ni ya kwanza kwenye eneo upembe...
Moses WangwaFeb 1, 20202 min readMakali ya njaa yanaposhuhudiwa, ni nani atakayewalinda watoto dhidi ya biashara ya ngono?Wasichana wadogo katika kanda ya Afrika Kusini wanashiriki biashara ya ngono ili kuepuka janga la njaa linaloathiri mamilioni ya watu...
Moses WangwaJan 22, 20202 min readSiku mbili za ,maombolezi baada ya shambulio la kigaidi kuangamiza raia 36 Burkina Faso yapata msiba
Moses WangwaJan 14, 20203 min readNi sharti katiba izingatiwe, upinzani nchini Guinea wasisitiza.Taifa la Guinea limekumbwa na visa vya maandamano makubwa ya kupinga kubalidilishwa kwa katiba tangu Oktoba mwaka jana Serikali ya Guinea...
Moses WangwaOct 11, 20192 min readKero la ugaidi latikisa AfrikaMwaka 2020 ni ule wa kunyamazisha mtutu wa bunduki barani Afrika. Hata hivyo mashambulizi ya kigaidi mwezi huu tu yanaashiria kinyume.